GE2025 Salum Mwalimu wa CHAUMMA atinga na nyomi kuchukua fomu ya Urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Project Chauma wamechangia hadi ccm kuitisha tone tone. Hapo watafanya maigizo yote lakini hawatoboi.
 
Wamekodi V8 10 kwa miezi miwili na kila V8 moja ni laki 3 kwa siku
Wamefanya ccm waingie gharama kubwa hadi kuitisha tonetone. Lengo ni ili kuwagaia Chauma hela kidogo nao wapate za kuhonga wapiga kura.
 
Mambo yamepangwa yakapangika!!! But watanzania wa leo sio wale wa 70 kifikra!!
 
Mama anajishalilisha na aina ya washindani wake ☹️
 
Hizo takataka zinafanya maigizo
 
Hakuna chama kitakachokufa kibudi kama hiki. Coz kimejengwa kwa kuwachukiza watanzania. Uchaguzi ukiisha nacho kwaheri
 
Hii nchi tunajilaani wenyewe. Mtu aliyehama chama kwa madai ya kukoseshwa kugombea ubunge ghafla anakua mgombea uraisi. Acha CCM watawale tu.
 
Hadi aibu naona mie! Mwenzao Lowasa alifunga mtaa!
 
Jamani tunafanya utani kwenye hili la uraisi, mtu hata nafasi ya uongozi serekalini hajawahi kushika anaparamia uraisi! Hata tutakao mpigia kura tutakua ni vichaa
 
Nimemuona aliyekuwa Mlinzi wa Mzee Mbowe ( CHADEMA) akimlinda Mr. Salum Mwalimu wa CHAUMA.
 
Huu mwaka wenye chuki ndio msimu wa kuongeza magonjwa mengine kufikia October 25 !!!

mwende kupima au magonjwa yenyewe yatawaburuta hospital mana umeyanunua wenyewe kwa umbumbuwako!!!! Mwaka wa Samia huu jiunge na Samia timu..

Upate furaha nakujiepushe na magonjwa zuilika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…