Saluni inayo mpamba Mfalme Zumaridi inastahili Heshima!

Saluni inayo mpamba Mfalme Zumaridi inastahili Heshima!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Bila shaka wanaompambaga Mfalme Zumaridi Wana nafasi Yao Peponi!

Kwa kweli baada ya wiki tatu za kukaa jela, kumedhihirisha ubora wa Wapambaji wake!

Sisi waumini wake Tunajivunia Kazi yenu

1647851222913.png
 
Back
Top Bottom