GABOO Senior Member Joined Apr 11, 2011 Posts 118 Reaction score 12 Oct 5, 2011 #1 Wakuu naombeni msaada wa hatua za uanzishwaji,uendeswaji na ununuzi wa vifaa vya saluni ya kiume,nina 1.5mil.nipo Arusha,zingatio. chumba,umeme wa tanesco,maji nnavyo.
Wakuu naombeni msaada wa hatua za uanzishwaji,uendeswaji na ununuzi wa vifaa vya saluni ya kiume,nina 1.5mil.nipo Arusha,zingatio. chumba,umeme wa tanesco,maji nnavyo.