Salute harmonize &country boy

Mayala B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
2,109
Reaction score
5,284
Aisee niaje wana

Kuna chuma moja ya zee la kukomesha yaan country wize kijana flan mnyamwez wa mambele huko akiwa na mtani wangu kijana mmoja mchonga vinyago ambaye ana demu beberu imeachiwa huko you tube.

Ee bhana hiyo ngoma ni noma

Harmonize umeua hujawahi imba namna hiyo nimekukubali mwanangu

Kuanzia leo mtan wangu naomba waache kukufananisha na vitu vya kipuuz puuz wewe ni sumu hatari mwanawane

Zee la kukomesha umetisha umeonesha ni jinsi gan wewe ni mnyamwezi

Salute mumetisha wazee

Natabiri hii ndo ngoma bora kwa mwaka huu akitokea msanii nwingine akatoa ngoma kali kama hii nitakunya mavi mafungu mafungu kutoka mwanza hadi songea


Salute


Mayala B
 
Wimbo wenyewe matusi tu hadi aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…