Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,227
Mkubwa Fella amejitoa sana kuwasaidia wasanii wadogo hadi kufika mafanikio ...ambayo wao wasanii wanamkubali kila siku.
Nimesikiliza Sporah akiwahoji vijana wa Yamoto Band Fella amewasomesha hawa watoto wote, Amewalea kama watoto wake...Maromboso tangu anasoma Fella amemsimamia, Beka pia Fella amemsimamia tangu kidato cha kwanza. Uzuri ni kwamba amewapa msingi mzuri wa wao kusoma kwanza.
Tunaona mafanikio ya Diamond ...huwezi kuyatenganisha na Support ya Fella. Atakua anafanya business pia...lakini ni vizuri sana pale ambapo msanii mwenyewe anakubali kuwa amesaidiwa.

Last edited by a moderator: