Salute kwa Mkubwa Fella, Mungu atakulipa

Freeland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
14,481
Reaction score
10,227
Mkubwa Fella amejitoa sana kuwasaidia wasanii wadogo hadi kufika mafanikio ...ambayo wao wasanii wanamkubali kila siku.

Nimesikiliza Sporah akiwahoji vijana wa Yamoto Band Fella amewasomesha hawa watoto wote, Amewalea kama watoto wake...Maromboso tangu anasoma Fella amemsimamia, Beka pia Fella amemsimamia tangu kidato cha kwanza. Uzuri ni kwamba amewapa msingi mzuri wa wao kusoma kwanza.

Tunaona mafanikio ya Diamond ...huwezi kuyatenganisha na Support ya Fella. Atakua anafanya business pia...lakini ni vizuri sana pale ambapo msanii mwenyewe anakubali kuwa amesaidiwa.

Last edited by a moderator:
hata daimond kasomeshwa bure na fella
 
Fella mwenyewe kaishia form1 mbagala sec how awasomeshe hao watoto? Fela na elimu wapi na wapi mkuu? Hapo bado hujazungimzia salim na tale wote shule chenga tu. Ukija kwa mjaziwa upepo Dai ndo kabisa zero kabisa.
 
Penye kusifia sifia mkuu sio kuponda tu. Kuto bahatika kusoma sio kufeli maisha unaweza kuta fela anauwezo mzur kulko aliyesoma. Anachofanya kusomesha ni jambo lakusifiwa
 
Njaa uleta maneno shibe uleta kusahau amekuja na ndala anaondoka na gari,Jana ameshindia kikombe cha kahawa leo anasema anadhulumiwa. #2008_Eheeeeee_2009 .
 
Kuna wazazi wana elimu ya darasa la saba lakini wamesomesha watoto zao hadi chuo kikuu.
 
Fella mwenyewe kaishia form1 mbagala sec how awasomeshe hao watoto? Fela na elimu wapi na wapi mkuu? Hapo bado hujazungimzia salim na tale wote shule chenga tu. Ukija kwa mjaziwa upepo Dai ndo kabisa zero kabisa.

Luh!Mkuu punguza chuki binafsi!ni sumu inayokuathiri mwenyewe

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hongera sana mkubwa Fellah pamoja na familia yote inayojua kutafuta hela na kanuni ya kupata hela ni lazima ugharamie ndo uvune na sasa munavuna muliyopanda maneno kaumbiwa binadamu
 
Fella mwenyewe kaishia form1 mbagala sec how awasomeshe hao watoto? Fela na elimu wapi na wapi mkuu? Hapo bado hujazungimzia salim na tale wote shule chenga tu. Ukija kwa mjaziwa upepo Dai ndo kabisa zero kabisa.
Kwa kuzingatia age ya Fella, hiyo Mbagala sec. aliyosoma yeye ni Mbagala sec ipi?
 
Ni mungu wa dini gani anaeyakubali anayoyafanya fela
 
Fella mwenyewe kaishia form1 mbagala sec how awasomeshe hao watoto? Fela na elimu wapi na wapi mkuu? Hapo bado hujazungimzia salim na tale wote shule chenga tu. Ukija kwa mjaziwa upepo Dai ndo kabisa zero kabisa.

Hahahaaaaaa... mkuu umeniuwa mbavu wallah
 
Fella mwenyewe kaishia form1 mbagala sec how awasomeshe hao watoto? Fela na elimu wapi na wapi mkuu? Hapo bado hujazungimzia salim na tale wote shule chenga tu. Ukija kwa mjaziwa upepo Dai ndo kabisa zero kabisa.

Hizi ndo akili za kichawi sasa,kwavile babaako hakukusomesha basi hutaki na mtoto wako asome
 
Fella mwenyewe kaishia form1 mbagala sec how awasomeshe hao watoto? Fela na elimu wapi na wapi mkuu? Hapo bado hujazungimzia salim na tale wote shule chenga tu. Ukija kwa mjaziwa upepo Dai ndo kabisa zero kabisa.
Ww baba yako inawezaekana hakusoma lakini ww alikusomesha
 
Penye kusifia sifia mkuu sio kuponda tu. Kuto bahatika kusoma sio kufeli maisha unaweza kuta fela anauwezo mzur kulko aliyesoma. Anachofanya kusomesha ni jambo lakusifiwa
Toka nianze kusoma mbagala sec school sjaxkia kua mkubwa fella alsoma mbagala sec apa mkuu umetudanganya
 
Mkubwa Fella alifanya jambo la maana kuacha biashara ya unga (kama ameacha kabisa), maana alikuwa anatumalizia nguvu kazi ya taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…