bluetooth23
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 348
- 326
Sisi tunawaza kuwashirikisha wao kwenye nyimbo zetu, ila wao hawafikirii hlo kabsa.. Wao wanafanya album na zinauzika kwa bei nzuri za kuwanufaisha sana kulingana na misingi ya hakimiliki nchini kwao, sisi huku album hazitolewi tena kwa kuwa haziwalipi. Matarajio ya wasanii wa bongo kama ally kiba, diamond, bob junior na wana hiphop wengne ni kuwashirikisha kwenye nyimbo zao wasanii kama Iyanya, wizkid, davido, dbanj, mafikizolo, chamileone na wengine. Ila cheki kwa wanaijeria, ndani ya album ya Wizkid kuna Tyga, Drake na Christina Aguirella. Ndan ya album ya Psquare kuna T pain, Trey songz, Junior Raid, YoukMouth. Na kwenye album ya D Banj kuna Kanye West, Big Sean, Pusha T na Snoop Doggy.