Salute, nimejiunga nanyi leo nikaribisheni

Mutwalib

Member
Joined
Mar 28, 2020
Posts
11
Reaction score
3
Ni matumaini yangu mko salama na wenye afya tele na wale ambao tupo kwenye mitihani ya maradhi basi Mungu atufanyie wepesi.

Ndugu yenu kaktika kujenga fikra nimejiunga nanyi, tuwe pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya wakaribishwa lakini uwe mpole, utusikilize wakongwe πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Huyo mbona anaonekana mkongwe amebadili tu ID yake kwa sababu kala BAN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…