structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 907
Baada ya kuwa mperuzi mzuri wa Jf hatimae nimeamua kujiunga rasmi na huu mtandao ili kuisaidia jamii pamoja na kunufaika pia kutokana na michango ya wanajamii. I hp tutakuwa pamoja sana. Vp nakaribishwa?