S structuralist JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,230 Reaction score 907 Oct 14, 2012 #1 Baada ya kuwa mperuzi mzuri wa Jf hatimae nimeamua kujiunga rasmi na huu mtandao ili kuisaidia jamii pamoja na kunufaika pia kutokana na michango ya wanajamii. I hp tutakuwa pamoja sana. Vp nakaribishwa?
Baada ya kuwa mperuzi mzuri wa Jf hatimae nimeamua kujiunga rasmi na huu mtandao ili kuisaidia jamii pamoja na kunufaika pia kutokana na michango ya wanajamii. I hp tutakuwa pamoja sana. Vp nakaribishwa?
H hippocratessocrates JF-Expert Member Joined Jul 1, 2012 Posts 3,598 Reaction score 1,544 Oct 14, 2012 #2 Karibu.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Oct 15, 2012 #3 Karibu jamvini.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Oct 15, 2012 #4 Karibu sana JF mkuu.