Salva kuondolewa Ikulu

ni juu ya kikwete kujua kuwa watanzania walimchagua yeye na si lowasa au rostam kuongoza taifa hili, kama hawezi kuongoza bila hawa wapambe aende pale uwanja wa taifa alitangazie taifa kujiuzulu
 
Kuna mdau katutumia hii na naibandika kama ilivyotumwa:

Ahaa
kazi ipo ila basi
Nadhani haya mabadiliko yataleta ladha fulani ktk habari za tanzania kwani hawa wote wanaoguswa ni mafundimichundo wa regime hii ktk utawala wa habari nchini.
sijui sijui hebu tungoje tuone
 
Mkuu jamaa anasema hivi:

Inasemekana Mruma haelewani na Waziri wake wa Habari kutokana na kuwa na msimamo mkali kwenye masuala mengi. Ugomvi wao umeanza wakati Habarileo ilipochapisha taarifa iliyowachefua wabunge na alipotakiwa kuomba radhi alikataa.

So read between the lines!
 
Jk akija kustuka atajiona kama vile yuko uchi maana wanamjuaa in and out...
 
Jk akija kustuka atajiona kama vile yuko uchi maana wanamjuaa in and out...
Yeah,

Japo wanasema "Mchawi mpe mwanao akulelee" lakini bado kuna watu siamini kama wanafaa kuwa nao katika utendaji, labda kama kuna upande wa pili wa shilingi!
 
ni juu ya kikwete kujua kuwa watanzania walimchagua yeye na si lowasa au rostam kuongoza taifa hili, kama hawezi kuongoza bila hawa wapambe aende pale uwanja wa taifa alitangazie taifa kujiuzulu

Nilifikiri Lowasa Hayupo tena uongozini baada ya Mkuu kusema amekumbwa na ajali ya kisiasa.Hivi bado yupo -kivipi?
 
Salva ni opportunist. Mnamkumbuka wakatui akiwa gazeti la rai alivyoiponda serikali mara akageuka na mpaka kupelekea kupata hiyo nafasi?

Ukweli pia jamaa hastahili ile nafasi sababu si mwadilifu na kweli ukurugenzi mawasiliano ikulu alipewa kama fadhila ya kuchonga mchongo mzima wa kummaliza Dr Salim wakati wa uchaguzi 2005 na alifanikiwa akishirikiana na Muhingo Rweyemamu na Said Nguba ambao wakati huo walikuwa Mwananchi. Hawa wawili nao walepewa fadhila ya Muhingo kupewa ubosi Habari Corp na alipewa gari corolla na kujengewa shule ya sekondari Iringa na Nguba ndiye msemaji wa Waziri mkuu.

Nafikiri system wanaweza kuwa wamemshtukia kazi yake ya kujaribu kuzima kashfa za RA na EL. Pia amekuwa akitoa habari nyingi sana za ikulu kuwapa waandishi wa Mtanzania ili ionekane kama scoop news.

Hivi Salva emehama kwenye kile kijumba kama kiota anachokaa pale mwananyamala?
 
Invisible

Unayo taarifa kwamba habari zilizochapishwa na Habari leo na kulichafua bunge ni Salve alimpa ili zitoke na hii ni makusudi ili ku pre empty moves fulani? Fuatilia na sio siri
 
Mwanakijiji tupe nakala ya barua ya SALVA kwenda kwa RA. lETE rahaaaaaaaa!
 
hii imekaa vizuri
kama ni kweli basi atleast nchi imeanza kurudisha heshima
ila heshima kamili itarudi baada ya kuwadhibiti mafisadimamba serikalini
 
Invisible

Unayo taarifa kwamba habari zilizochapishwa na Habari leo na kulichafua bunge ni Salve alimpa ili zitoke na hii ni makusudi ili ku pre empty moves fulani? Fuatilia na sio siri
Dah,

Shangazi unajua mambo mengi sana... Imebidi nicheke tu, maana inaelekea wewe tunafahamiana! Haiwezekani kila ninalofahamu unafahamu...
 
Ahaa
kazi ipo ila basi
Nadhani haya mabadiliko yataleta ladha fulani ktk habari za tanzania kwani hawa wote wanaoguswa ni mafundimichundo wa regime hii ktk utawala wa habari nchini.
sijui sijui hebu tungoje tuone
Tatizo ni kuwa hizi zinabaki kuwa tetesi tu na hakuna mabadiliko yoyote yanayotokea. nakumbuka sometyime last year, tuliambiwa kuwa kuna tetesi kuwa EL atarudi serikali
very soon' lakini inaonekana kuwa hiyo very soon ghaijafika hadi leo. Ngoja tuendelee kusubiri
 
nusu nakubali nusu naangalia.
ila ngoja nimtafute shehe yahaya (redio yao) akanioneshe ramli kuhusu jina la Salva na Muhingo zinasomaje.
Ila Kiukwelii salva hafai pale ikulu kwa maslahi ya nchi.
bora ningeteuliwa mbumbumbu mie
 
Jamani bado tu huyu mshika kibendera cha Fisadi Papa Rostamu Azizi anatesa ikulu yetu?
 
Nilifikiri Lowasa Hayupo tena uongozini baada ya Mkuu kusema amekumbwa na ajali ya kisiasa.Hivi bado yupo -kivipi?

Influence ya Lowassa bado kubwa sana kwa Jakaya and hence serikalini; angalia tu katika uteuzi wa MaDc, cronies wake wengi wameingizwa na waliokuwemo wamebakia wengi, hata kwenye safu ya maRC bado wapo wengi vibaraka wa EL!!Tatizo ni kwamba Jakaya is very naive na ndio maana EL vivuli vyake bado vipo!
 
Kweli, Usisahau kuwa hawa watu wako kazini, na kazi ndiyo imepamba moto, na usisahau uchaguzi wa 2010 uko karibu nani atakeyepiga kula? kama siyo hao hao! JK anapalilia njia yake 2010.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…