Renegade JF-Expert Member Joined Mar 18, 2009 Posts 7,221 Reaction score 6,940 May 5, 2009 #41 WomenofSubstanc said: Nilifikiri Lowasa Hayupo tena uongozini baada ya Mkuu kusema amekumbwa na ajali ya kisiasa.Hivi bado yupo -kivipi? Click to expand... Kinyumenyume.Kama konda wa daladala haendeshi gari , lakini ndiye anayemwambia dereva simama, shusha, nenda, angalia Pesa, KULA VICHWA.
WomenofSubstanc said: Nilifikiri Lowasa Hayupo tena uongozini baada ya Mkuu kusema amekumbwa na ajali ya kisiasa.Hivi bado yupo -kivipi? Click to expand... Kinyumenyume.Kama konda wa daladala haendeshi gari , lakini ndiye anayemwambia dereva simama, shusha, nenda, angalia Pesa, KULA VICHWA.