mozambique
Senior Member
- Jan 2, 2014
- 101
- 15
Mambo zenu natumai muwazima na mmeumaliza na kuuanza mwaka vizuri. Mimi niko bomba naomba mnipokee vizuri msinibague kwa kuwa mimi ni WA msumbiji.
Salve africa
Mambo zenu natumai muwazima na mmeumaliza na kuuanza mwaka vizuri. Mimi niko bomba naomba mnipokee vizuri msinibague kwa kuwa mimi ni WA msumbiji.
Salve africa
Nashukuru kaka.Karibu sana JF...
Watu weupe hawana mpango wowote.karibu mkuu,
afrika moja, mipaka waliweka watu weupe bila kutushirikisha.
Bon dia.
Karibu sana jamvini.Mambo zenu natumai muwazima na mmeumaliza na kuuanza mwaka vizuri. Mimi niko bomba naomba mnipokee vizuri msinibague kwa kuwa mimi ni WA msumbiji.
Salve africa
Last seen yake Ni Dec 28 2014.Tudo bem mano? Seja bem vindo à nossa casa.