Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
A.K.A BIG SAMSikuwa nakumbuka ni nani hasa ila nilivyosoma jina nikajua lina makosa, ni Allardyce
AsanteSikuwa nakumbuka ni nani hasa ila nilivyosoma jina nikajua lina makosa, ni Allardyce
Club ya soka ya Leeds United leo imemtangaza Big Sam kuchukua mikoba hadi mwisho wa msimu , baada ya kutimua kocha wao kutokana na matokeo yasiyoridhisha .
Kila la heri Big Sam