Sam Bartram Golikipa aliyechukua muda mrefu kujua Kama mechi imeairishwa

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Charlton Athletic Goalkeeper Sam Bartram Alone On Pitch After Game Was Abonded Due Thick Fog. | 25 December 1937 |

JUA KIUNDANI KUHUSU HILI

Unafahamu ya kua mnamo tr 25-12-1937.nchini marekani(USA) kuna mechi iliairishwa kisa hali ya hewa kubadilika ikiwemo uangukaji wa theluji na kuzidi upepo pamoja na manyunyu na baridi kuzidi.

Hivyo ilimchukua zaidi ya dk15 goalkeeper Sam Botorn kujua kua mechi imeairishwa. Kwa sababu kipa huyo alifuatwa na kujulishwa mechi imeairishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…