sam mayela wa itv anastahili pongezi

sam mayela wa itv anastahili pongezi

Anna Deo

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Posts
598
Reaction score
407
kwa wale ambao tumekuwa tukifuatilia taarifa ya habari itv bila shaka tumeshuhudia utu aliokuwa nao mtangazaji huyu.taarifa ya habari ya leo iliyomuonesha mzee aliyetelekezwa na mkewe huko mabibo relini imenigusa sana.Ni watz wachache na wanahabari wachache wangeweza kuonesha ukarimu wa namna aliyoonesha sam mayela kwa mzee yule.
I wish mtangazaji huyu angekuja apa jamvini ili tuwe tunashirikiana naye katika kutoa maoni,mapendekezo,ushauri wa jinsi gani ya kuwasaidia watu wenye matatizo kama haya ya huyu mzee maana naamini jamiiforums anaweza pata msaada wa kisheria toka kwa wanasheria,msaada wa kiroho ata kifedha pia.
Kwa yeyote mwenye mawasiliano na mtangazaji huyu naomba amkaribishe jf na kama yupo napendekeza atumie ID ya jina lake halisi.
Hakika anastaili pongezi za dhati na mwenyezi Mungu amjalie.!!!!
 
Back
Top Bottom