mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 642
sam misago hana kipaji cha kuimba/muziki hata kidogo, hana vocal, sauti yake ni ya chini, anatoka nje ya key, sauti yake ni ya kuongea haifai kuimba..ana madhaifu mengi sana.. kuimba na ku-rap hawezi abaki kwenye utangazaji toka ule wimbo wake wa kwanza ameimba uchafu mtupu na huu hivyo hivyo.Sabakher Wadau;
Nimepata Time Ya Kupita Youtube Na Kuchek Video Ya Sam Misago Ballin And Chillin! Video kali Thanx Director HQ huwa Huniangush Mlugulu Mwenzangu! Ila Nyimbo Pumba Kabisa! Yaan Sijaelewa Hata Moja!!! Nadhan King Kiba Anapaswa Kumuunganisha Na Huyu Mwanafunz Katika Yale Mafunzo Atakayomuandalia Diamond!!! Maana Naona Wote Wanaimba Pumba Video Kali.
Watu wanwekeza kwenye vichupa tuu audio hawana mpango hahahaaa...Sabakher Wadau;
Nimepata Time Ya Kupita Youtube Na Kuchek Video Ya Sam Misago Ballin And Chillin! Video kali Thanx Director HQ huwa Huniangush Mlugulu Mwenzangu! Ila Nyimbo Pumba Kabisa! Yaan Sijaelewa Hata Moja!!! Nadhan King Kiba Anapaswa Kumuunganisha Na Huyu Mwanafunz Katika Yale Mafunzo Atakayomuandalia Diamond!!! Maana Naona Wote Wanaimba Pumba Video Kali.
Koromeo kitenesi anaforce fani