sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 Feb 13, 2015 #1 Habari jf nimeiona kwenye instagram ya diamond nikaona nishee na nyie. Attachments 1423854470828.jpg 40.8 KB · Views: 3,406
mugeza JF-Expert Member Joined Jul 25, 2013 Posts 521 Reaction score 260 Feb 13, 2015 #2 mhh!!!! hata hawaendani kabsa.
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,687 Feb 13, 2015 #3 Ye mwasitk alikua hataki ijulikane... Diamond mbwembwee akaandika hivyo
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,687 Feb 13, 2015 #4 mugeza said: mhh!!!! hata hawaendani kabsa. Click to expand... We ulienae mnaendana?? btw umetumia vigezo gani ku judge that way
mugeza said: mhh!!!! hata hawaendani kabsa. Click to expand... We ulienae mnaendana?? btw umetumia vigezo gani ku judge that way
Leak JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,916 Reaction score 43,505 Feb 13, 2015 #5 Hili swala lilishajadiliwa hapa..
dawa yenu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 2,825 Reaction score 3,675 Feb 13, 2015 #6 Ruttashobolwa said: Hili swala lilishajadiliwa hapa.. Click to expand... asante kwa taarifa
U UDSM Alumni JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 2,530 Reaction score 1,370 Feb 13, 2015 #7 mbona waucka walshakana kuwa co lovers
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,603 Reaction score 13,654 Feb 13, 2015 #8 halafu watu walishaanza kumzushia huyo sam eti mkameruni..
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,819 Feb 14, 2015 #9 Hongera yao
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,262 Reaction score 2,184 Feb 14, 2015 #10 DEMBA said: halafu watu walishaanza kumzushia huyo sam eti mkameruni.. Click to expand... kwan bado hajapata kitambulisho cha uraia
DEMBA said: halafu watu walishaanza kumzushia huyo sam eti mkameruni.. Click to expand... kwan bado hajapata kitambulisho cha uraia
makedonia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 4,171 Reaction score 3,461 Feb 14, 2015 #11 Bwanshe56 said: mbona waucka walshakana kuwa co lovers Click to expand... Walijua hawaendani..
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Feb 14, 2015 #12 Hongera misago.
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Feb 14, 2015 #13 Ndoa ilifungwa kigoma ama Yaoundé?
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,858 Reaction score 23,768 Feb 14, 2015 #14 Shauri yao...
sweetlee JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 4,050 Reaction score 14,770 Feb 14, 2015 Thread starter #15 mugeza said: mhh!!!! hata hawaendani kabsa. Click to expand... Siyo mbaya jinsi wanavyoendelea kukaa wataendana
mugeza said: mhh!!!! hata hawaendani kabsa. Click to expand... Siyo mbaya jinsi wanavyoendelea kukaa wataendana
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,732 Reaction score 4,901 Feb 14, 2015 #16 B12???
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 17,640 Reaction score 22,748 Feb 14, 2015 #17 adakiss23 said: B12??? Click to expand... kafanyaje
Asabaya JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 1,310 Reaction score 416 Feb 14, 2015 #18 Watajua wenyewe....
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Feb 14, 2015 #19 Hongera yao
FYATU JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 5,567 Reaction score 4,683 Feb 14, 2015 #20 DEMBA said: halafu watu walishaanza kumzushia huyo sam eti mkameruni.. Click to expand... Labda ungesema ni mfuasi wa David Cameron ? coz watu wana mix cameroon nchi na Bw David aliyeshauri tuanze "kuparangana" ndume kwa ndume kama tunataka msaada.
DEMBA said: halafu watu walishaanza kumzushia huyo sam eti mkameruni.. Click to expand... Labda ungesema ni mfuasi wa David Cameron ? coz watu wana mix cameroon nchi na Bw David aliyeshauri tuanze "kuparangana" ndume kwa ndume kama tunataka msaada.