Sam Sasali na mwenzake watutake radhi Watanzania na matabibu

Sam Sasali na mwenzake watutake radhi Watanzania na matabibu

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2020
Posts
279
Reaction score
480
Sum Msasali na mwenzake leo wameniacha hoi wakati wanajadili sakata la uhaba wa damu salama nchini, hivyo wakatoa wazo kuwa wataalam waanze kutumia damu za wanyama kuwaongezea binadamu, jamani hii imakaaje?

Mfano ukiwekewa damu ya mbwa au mbuzi inakuwaje. Dah!
 
Hawakuwa na mtaalamu wa afya hapo ili atoe ufafanuzi wa kitaalamu zaidi kuhusu hilo?
 
Kama tu dawa za binadamu haziingiani Hadi muwe na mfanano wa makundi ya damu kwA wanyama sidhani sana

Ila niliwahi kusoma sehemu huko S.A walitumia damu ya ng'ombe kuongezea watu na ikafaa pia damu za farasi sijaenda powa

Nadhani inahitaji sayansi ya Hali ya juu kiasi Nasi huku sayansi yetu ya kutoa Panadol kila ugonjwa watatuua bure
 
Sum Msasali na mwenzake leo wameniacha hoi wakati wanajadili sakata la uhaba wa damu salama nchini, hivyo wakatoa wazo kuwa wataalam waanze kutumia damu za wanyama kuwaongezea binadamu, jamani hii imakaaje?

Mfano ukiwekewa damu ya mbwa au mbuzi inakuwaje. Dhah!
Sioni tatizo if compatibility is good, then it is OK
 
Back
Top Bottom