My Joash
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 270
- 214
Wadau habari za usiku. Najua JamiiForums ni kisima cha maarifa, naomba ushauri kwa anayefahamu. Nina miti yangu ya matunda nataka kuotesha, nyumbani ninayo mbolea ya kuku (mavi ya kuku) nilitaka niitumie ila kuna watu wameniambia kuwa si nzuri kama ya mbuzi au ng'ombe, wanasema eti inainguza mimea,
Je, ni kweli au ni maneno tu, wengine wanadai hadi uichanganye na mchanga ndo uitumie. Je, niitumie tu au ni kweli si nzuri?
Nakaribisha mawazo yenu
Je, ni kweli au ni maneno tu, wengine wanadai hadi uichanganye na mchanga ndo uitumie. Je, niitumie tu au ni kweli si nzuri?
Nakaribisha mawazo yenu