Samahani Daktari, naomba muda wako wa dakika mbili tatu tu

Mbona kwa mbali naona ni primary infections za acute hiv stage.....vipi hujapa rashes ...... vipi ukima mate koo linauma uma kwa mbali.... je usiku unapata homa ....kama ndio pima na mzee wa kazi HIV
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaweza kua na upungufu wa kinga mwilini kama sivyo why magonjwa nyemelezi yanakurudia?
 
Sijawahi hata kupata wazo la kusema nikapime maabara!.. nikiumwa au nikijiskia vibaya, ni straight hospital.

Maabara nilishaenda mara 2 tu kwasababu maalumu.

  • mara ya kwanza kutala kupima hiv nilitaka kupima kwa siri so nikaenda maabara. Huko nikakuta ban kuwa vipimo ni mpaka hospital za serikali, nikakwamba ikabid tu niende governmnet
  • ya pili, kwa mara ya kwanza kuugua Gono, nilienda hospotal nikapima na kuanza dozi, iila baada ya kiwewe maana nilikua embarrased sana kupata gono, nilipomaliza tu dozi nikaenda maabara kuchek ishaondoka ? 😂😂
 
Unaweza kua na upungufu wa kinga mwilini kama sivyo why magonjwa nyemelezi yanakurudia?
Matatu tu???

Kwanini yawe matatu tu

Kichwa hakiumi,mwili hauumi isipokuwa kuchoka ila havinizuii kufanya shughuli zangu.
 
Matatu tu???

Kwanini yawe matatu tu

Kichwa hakiumi,mwili hauumi isipokuwa kuchoka ila havinizuii kufanya shughuli zangu.
Basi yaweza kua una allergic condition kwan upo mazingira tofauti na ulipokua unaishi zamani?
 
Dah.hosipal huwa siendi kwa sababu nakerwa sana na foleni pia utaratibu wao mgumu mno hadi kuja kupata tiba unakuwa umesota masaa kadhaa.
 
Basi yaweza kua una allergic condition kwan upo mazingira tofauti na ulipokua unaishi zamani?
Nipo mazingira yale yale ya siku zote, sema hii hali ya kupima nikaambiwa hakuna halafu baada ya muda nikipima sehemu tofauti naambiwa ipo.
 
H.v sitakaa nipime nawaambia, si nasikia inapunguza uzito? Nitakuwa napima hapo tu nitapata majibu mwenyewe.
 
DR Mambo Jambo
 
Tatizo ndio linapoanzia hapo, vipi mkuu hujiamini au...
Mkuu kupima rahisi sema kupokea majibu ndo ishu, mimi ni mmoja kati ya watu ambao tumejijengea status fulano hapa mjini sasa nikikuta mzee wa kazi yupo itakuwa habari mbaya sana kwa wanaoniamini.
 
Pole ndugu yangu. Siku nyingine ukienda maabala, muelezee mtaalam, alafu yeye ndo akushauri ni kipimo gani upime. Nimeshtuka kidogo uliposema eti "ndo ugonjwa unaokusumbua".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…