Samahani Daktari, naomba muda wako wa dakika mbili tatu tu

Hakuna malaria 10 duniani
kuna kiongozi wa chama cha siasa ameng'atuka majuzi kwenye medani, miaka kadhaa imepita aliwahi kupatikana na malaria 500, akarejelea ili sehemu ya mwisho karibia na ku r.i.p, una far nchezo nnπŸ’
 
Huwa naenda maabara za kawaida hizi za mitaani ambapo kupima malalia sio zaidi ya elf mbili
Nunuwa fungu la malimao kamuwa upate glasi moja au mbili kunywa.

Hizi ni tiba mbadala zinafanyakazi vizuri tu.

Unaweza kuchanganya na tangawizi na kitunguu Swaumu na Amdarasini ukablend pamoja kunywa hiyo juice ya combination hiyo hutosikia tena hizo mambo.
 
Pole ndugu yangu. Siku nyingine ukienda maabala, muelezee mtaalam, alafu yeye ndo akushauri ni kipimo gani upime. Nimeshtuka kidogo uliposema eti "ndo ugonjwa unaokusumbua".
Asante sana. Nasumbuka mara nyingi na magonjwa matatu tu.maralia, typod na mkojo, nadhani ni tangu zamani sana nikiumwa ni viwili kati ya hayo kimoja au vyote.sijawahi kuungua magonjwa mengine kama kuumwa tumbo, kuharisha, kichwa kuuma, homa zile kali n.k ni hayo tu na kukosa hamu ya kula basi
 
DR HAYA LAND
 
Adsnte sana nimechukua huu ushauri kwa mikono miwili.

Asante mno.
Asante sana huu ushauri nauchukua na naufanyia kazi leo leo
 
Matatu tu???

Kwanini yawe matatu tu

Kichwa hakiumi,mwili hauumi isipokuwa kuchoka ila havinizuii kufanya shughuli zangu.
kula vizuri, lala vizuri, fanya mazoezi, pumzisha mwili wako,
maradhi ni kawaida kwa binadamu hilo ufahamuπŸ’
 
Kikubwa aje na njia za kunisaidia.lakini akigusia mambo ya h.v.i aisee aisee sipokei
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Usikhofu hapa tunaa specialist wetu kabisa..
Ushindwe wewe kuwatumia vizuri...
Hapa mpaka sindano utapewa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Usikhofu hapa tunaa specialist wetu kabisa..
Ushindwe wewe kuwatumia vizuri...
Hapa mpaka sindano utapewa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndo maana nikaomba ushauri baada ya kuona hata maabara zenyewe hazinisaidii.
 
Mbona unamtisha!
hapana,
saa zingine ni mtindo wa maisha, lishe isiyoeleweka, stress za maisha na kutokupata muda wa kutosha kupumzika, unaweza kujikuta katika hali kama ya ndugu yetu πŸ’

so,
mazoezi na lishe bora ya kueleweka yaweza kua tiba tosha na ya kudumu kwa mambo mengi ambayo saa zingine tunahisi ni maradhi kumbe hapana πŸ’
 
Bora huyo.kuna mwingine kaniambia nikapime mambo magumu.dah nimepata mawazo kwa dakika kadhaa ila nikasema hapana hakuna hicho kitu kwenye mwili wangu.
acha woga na hisia hasi tafadhali πŸ’

hata hivyo ni vizuri kua waangalifu na kuchukua tahadhari zote muhimu juu ya maradhi mbalimbali, yanayoambukiza na yasiyoambukiza ili daima tuwe wenye afya njema na kuinjoy life πŸ’
 
Huu uzi ume expose ujinga mwingi sana wa Watanzania
1.Kupenda shortcut mtu badala aende hospitali anaenda maabara anaandikiwa dawa huko maabara anakubali kabisa[emoji3]
2.Ushirikina uliokithiri.
3.Ujujuaji mwingi wa kijanga,mtu anaambiwa aende hospitali anasema kuna utaratibu mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…