Samahani Daktari, naomba muda wako wa dakika mbili tatu tu

Ni kweli maana nina ubize pia chakula ndo sijui na sijawahi kuwa na mpangilio maalum nakula chochote muda wowote iwe kwa kuwahi au kuchelewa mfano chakula cha mchana naweza kula saa kumi jioni muda mwingine cha usiku nakula saa tano then kulala kuna wakati nalala saa nane sijawahi kulala saa mbili au tatu kwa miaka kadhaa sasa nikiwahi ni saa nne au tano.
 
zingatia sana ule ushauri wa kitabibu ulopewa mwanzo, kisha jaribu kubadili mtindo wa maisha na lishe, shiriki mazoezi na kupumzika vizuri..
I m sure, utakua fit, smart mpaka utajishangaa πŸ’
 
Ngoma hiyo
 
Mkuu asante kwa comment yako lakini ujue sio wote tuna muda wa kwenda kupanga foleni hospital,ndio maana wenye pesa wana madaktari wao binafis, hivyo basi hata maabara hizi zinasaidia wakati mwingine vinginevyo serikal ingezifunga ikiwa hazina tija. Mimi kwa muda mrefu nimekuwa naenda maabala napima kisha naandikiwa dawa naenda famasi nanunua nameza dozi nzima na napona.
 
zingatia sana ule ushauri wa kitabibu ulopewa mwanzo, kisha jaribu kubadili mtindo wa maisha na lishe, shiriki mazoezi na kupumzika vizuri..
I m sure, utakua fit, smart mpaka utajishangaa πŸ’
Asante sana
 
Shida sana hii,ila jaribu kwenda maabara zinazoeleweka utapata ufumbuzi vinginevyo ikashindikana waone wabobevu wa mambo ya KIROHO pia kwa msaada zaid,adios!
 
Pole

Pole Sana mkuu.

Nenda ufanye checkup upya katika magonjwa yote

Ikiwa utakuwa na ugonjwa tumia Sindano

Hivyo vidonge vya 2k ni cheap na havina nguvu pole Sana

Tumia sindano
 
Pole

Pole Sana mkuu.

Nenda ufanye checkup upya katika magonjwa yote

Ikiwa utakuwa na ugonjwa tumia Sindano

Hivyo vidonge vya 2k ni cheap na havina nguvu pole Sana

Tumia sindano
Asante saaaana barikiwa kiongozi.

naufanyia kazi huu ushauri
 
Shida sana hii,ila jaribu kwenda maabara zinazoeleweka utapata ufumbuzi vinginevyo ikashindikana waone wabobevu wa mambo ya KIROHO pia kwa msaada zaid,adios!
Asante
 
Muda na afya yako kipi bora,huyo anaekuandikia dawa huko maabara ni daktari???,hicho kipimo cha typhoid hospitali za wilaya tu nyingine hazina uwezo wa kufanya je hizo maabara uchwara,huko maabara mnapewa magonjwa msiyokuwanayo mwisho wa siku unapewa dawa hata hazihusiani na ugonjwa ndo hivyo unameza leo kesho unaumwa tena,....jitahidi uende hospitali maabara hawatumi STG
 
Kwa taarifa yako hakuna maabara ambayo ina daktari,kama unaandikwa dawa na unapona ni miujiza tu lakini maabara kisheria haziruhusiwi kuwa na daktari, unaandikiwa dawa na mtaalamu wa maabara sio daktri kitu ambacho sio sahihi
 
Kwa taarifa yako hakuna maabara ambayo ina daktari,kama unaandikwa dawa na unapona ni miujiza tu lakini maabara kisheria unaandikiwa dawa na mtaalamu wa maabara kitu ambacho sio sahihi
Duuuh kumbe najiua bila kujua.asante kwa kunifumbua macho.

Wanavyoandika kwa mbwembwembe sasa maandishi yasiyoeleweka utadhani madaktari kweli kumbe sio wanafanya kazi kwa uzoefu tu.
 
Asanteeee sana.nilikuwa na watoto nawapeleka maabala sasa ngoja niache huu utaratibu.

Vipi kuhusu hizi zahanati nazo magumashi au?
 
Duuuh kumbe najiua bila kujua.asante kwa kunifumbua macho.

Wanavyoandika kwa mbwembwembe sasa maandishi yasiyoeleweka utadhani madaktari kweli kumbe sio wanafanya kazi kwa uzoefu tu.
Ndo hivyo mkuu,hata hicho kipimo cha malaria cha sijui wadudu 10,siku hizi hakitumiki watu wanatumia kipimo cha kisasa kama kile cha ukimwi (MRDT) wao hawatumii sababu hawana,vipo serikalini na hospitalini tu!
 
Dah hadi nimechoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…