Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Angalau zahanati watafuata miongozo ya matibabu na wana madaktari,ila nakushauri ndugu yangu usipeleke mtoto maabara ,wala usinunue dawa duka la dawa wale sio madaktari ni wafamasia wanaweza kujua dawa inatibu nini,ila kila ugonjwa una muongozo wake wa kutibu na huo muongozo anaujua daktari pekee.Asanteeee sana.nilikuwa na watoto nawapeleka maabala sasa ngoja niache huu utaratibu.
Vipi kuhusu hizi zahanati nazo magumashi au?
Asante mno mkuu.asante sana.Angalau zahanati watafuata miongozo ya matibabu na wana madaktari,ila nakushauri ndugu yangu usipeleke mtoto maabara ,wala usinunue dawa duka la dawa wale sio madaktari ni wafamasia wanaweza kujua dawa inatibu nini,ila kila ugonjwa una muongozo wake wa kutibu na huo muongozo anaujua daktari pekee.
Sasa daktari atakutibu nini bila kupata investigation report kutoka laboratory?Angalau zahanati watafuata miongozo ya matibabu na wana madaktari,ila nakushauri ndugu yangu usipeleke mtoto maabara ,wala usinunue dawa duka la dawa wale sio madaktari ni wafamasia wanaweza kujua dawa inatibu nini,ila kila ugonjwa una muongozo wake wa kutibu na huo muongozo anaujua daktari pekee.
Ndio maana nimemuambia aende hospitali,ataonana na daktari atamuandikia vipimo,atamtuma maabara,akirudi atapata majibu ya kile anachoumwa mgonjwa,then atamuandikia dawa,atamtuma dispensing akachukue dawa aende nyumbani.Sasa daktari atakutibu nini bila kupata investigation report kutoka laboratory?
Yani mfamasia apate lab investigation report anashindwaje kukutibu?
Kazi ya mfamasia sio kutibu acha ubishi.Sasa daktari atakutibu nini bila kupata investigation report kutoka laboratory?
Yani mfamasia apate lab investigation report anashindwaje kukutibu?