Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,125 Reaction score 7,373 Apr 23, 2016 #21 Tatizo JF kuna vijana wa Lumumba wao kwa matusi ni kiboko..
barafu JF-Expert Member Joined Apr 28, 2013 Posts 6,739 Reaction score 32,880 Apr 23, 2016 Thread starter #22 platozoom said: Mimi Ngosha babu yao!!! Nasikia Lusajo11 keshakosa mashori watatu kwa sababu yako...[emoji1] [emoji1] Lusajo mtafute barafu umyeyushe kwa jua Click to expand... Ha ha ha ha mkuu platozoom huyu jamaa alikuwa anamvizia sana Nifah na Diva Beyonce,ila walivyosikia jamaa ana utajiri wa kwa Mwandulami imebidi warudi nyuma hatua mbili
platozoom said: Mimi Ngosha babu yao!!! Nasikia Lusajo11 keshakosa mashori watatu kwa sababu yako...[emoji1] [emoji1] Lusajo mtafute barafu umyeyushe kwa jua Click to expand... Ha ha ha ha mkuu platozoom huyu jamaa alikuwa anamvizia sana Nifah na Diva Beyonce,ila walivyosikia jamaa ana utajiri wa kwa Mwandulami imebidi warudi nyuma hatua mbili
Lusajo11 JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 1,887 Reaction score 1,965 Apr 23, 2016 #23 platozoom said: Mimi Ngosha babu yao!!! Nasikia Lusajo11 keshakosa mashori watatu kwa sababu yako...[emoji1] [emoji1] Lusajo mtafute barafu umyeyushe kwa jua Click to expand... Huyu barafu atakuwa barafu ya mbege sio kwa kuharibiana huku. Ametumwa sijui
platozoom said: Mimi Ngosha babu yao!!! Nasikia Lusajo11 keshakosa mashori watatu kwa sababu yako...[emoji1] [emoji1] Lusajo mtafute barafu umyeyushe kwa jua Click to expand... Huyu barafu atakuwa barafu ya mbege sio kwa kuharibiana huku. Ametumwa sijui
mbudunge JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 1,735 Reaction score 1,089 Apr 23, 2016 #24 barafu said: mbudunge mkuu wangu,kawaida barafu halalii godoro maana ataliowanisha...ana mahali mahususi pa kulala Click to expand... Hahahaaaaaa barafu kawa muungwana kweli najua atakuwa muungwana pia akilala juu ya godoro
barafu said: mbudunge mkuu wangu,kawaida barafu halalii godoro maana ataliowanisha...ana mahali mahususi pa kulala Click to expand... Hahahaaaaaa barafu kawa muungwana kweli najua atakuwa muungwana pia akilala juu ya godoro