Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

"Nilimpokea ila stim zote zilikata maana alikuwa mfupi sana na amekomaa kisawasawa."

Weka picha watu wa VAR wathibitishe kama hii kauli yako ni ya kweli au unamsingizia kuna mduanzi anakagua hadi kucha

Hahaha Jf ni kiboko leo nacheka kama mwehu
 
Hahaha hatimae umekuja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…