Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Dah, Uzi huu nilicheka sana hapo kwenye sweta la Tanzania

Halafu kwani sisi wafupi hatufai au🏃🏃🏃
 
Ndo nasema huu uzi mwanzo ulikua na jina la Magilah kama sikosei naona jamaa kabadili jina la ID

Kujua rahisi tu ni kuangalia post zake nyuma kwenye quotes jina la zamani lina kuwepo
 
Kujua rahisi tu ni kuangalia post zake nyuma kwenye quotes jina la zamani lina kuwepo
Nimeona ndo yeye Magallah🤣🤣🤣,,hiyo wiki yote alitrend yeye baada ya ajali ya moto wa Morogoro ndo kipindi ambacho neno Kuchomoa Betri lilitrend sana😁😁😁.

Na bint ndo huyu huyu wa sasa
 
🤣🤣 mtu mzembe sana ona umejileta
 
cutelove uzi wako huu
 
Days are gone ,when a man was a man .
Najivunia kuwa mwanaume shababi sio nyie tutoto.
 
Hii chai kasoro tangawizi
 
alikuwa mfupi sana na amekomaa kisawasawa.

cutelove kuna ukweli hapa? anyway tuachane na hayo, mikoba ya uganga chukua ili umfundishe huyu ndugu yetu adabu kwanini akukimbie na kuacha elfu saba mia nane?
Angalia avatar yangu kweli Mimi mfupi jomoni
 
Hahahaaa ulibadili ID mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…