Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili


Daaah 🤣[emoji1316][emoji1316][emoji1316] nyie ndio mnafanya watu wajichubue wakati weusi ni mzuri tu
Ila nyie mpo vizuri sana etii
Jamanii[emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Dah ndugu yako Cardio alimwambia felister anavaa sijui yeboyebo na saa ya 5000 ,kucha chafu sijui ngozi imefubaa anahitaji minerals au sijui vitamini

Hapo ni baada ya Felister kuweka picha yake jamaa akaitia kwenye VAR
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Mengine sikuwahi kuyajua ila kama watu wamefika huku tunahitaji kuwa makini na watu tunaoamua kushirikishana kwenye maisha yetu halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…