Samahani mlio jirani na Ahmed Ali muulizeni imekuwaje alisema Simba SC haitoshuka Kileleni na sasa iko nafasi ya Huruma ya Tatu katika Msimamo?

Ahmed ally sio tatizo wala kikwazo cha sisi simba kushindwa kutamba ndani ya nbc premier league tatizo ni uongozi mbovu+usajili mbovu+kukosa majasusi na ma mafia wa football ndio maana tunashindwa ndani na nje ya uwanja+muwekezaji janja janja a.k.a gabachori muniya muniya. Tutalaumiana sana lakini yanga wana timu kali mbaya mbovu. Tusajili wachezaji wenye ubora tuache janja janja.
 
Mechi nane, kufungwa moja, droo moja kushinda sita
Hivi hapo ubovu wa timu ukoapi?

Mbona hii ni perfomance nzuri mnataka msifungwe mechi yoyote? Nyinyi ni nani?
 
Hata yeye hapendi mkuu, kazi yake ni kusifia tuu.
Hukumbuki alisema Shirikisho ni looser ila alipodondokea huko akageuka na kusema kule ndio pamabingwa .
 
Sasa kama wahezaji wenyewe ni kina mukwala na Budo unategemea kupata matokeo Gani ya maana kwenye mechi kubwa kubwa?

Kipindi cha Manara Simba ilikuwa na watu,kule mbele jamaa walikuwa wanafunga kadiri walivyojisikia. Hii Simba ya sasa tia maji na Haina mipango,mbaya zaidi Haina watu wakatili wa kuibeba timu na kuamua matokeo.
 
Mechi nane, kufungwa moja, droo moja kushinda sita
Hivi hapo ubovu wa timu ukoapi?

Mbona hii ni perfomance nzuri mnataka msifungwe mechi yoyote? Nyinyi ni nani?
kwanini una quote comment yangu na ku nijibu bila kuniamkia mimi baba ako? Sikia mtoto wangu hapa nimezungumzia misimu 3 tuliyoshindwa kutamba+
 
Mechi nane, kufungwa moja, droo moja kushinda sita
Hivi hapo ubovu wa timu ukoapi?

Mbona hii ni perfomance nzuri mnataka msifungwe mechi yoyote? Nyinyi ni nani?
Tulikubaliana msimu huu ni ubaya ubwela, lakini naona inakua tofauti na makubaliano.
 
Back
Top Bottom