GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kisauti.Kispika
Mechi nane, kufungwa moja, droo moja kushinda sitaAhmed ally sio tatizo wala kikwazo cha sisi simba kushindwa kutamba ndani ya nbc premier league tatizo ni uongozi mbovu+usajili mbovu+kukosa majasusi na ma mafia wa football ndio maana tunashindwa ndani na nje ya uwanja+muwekezaji janja janja a.k.a gabachori muniya muniya. Tutalaumiana sana lakini yanga wana timu kali mbaya mbovu. Tusajili wachezaji wenye ubora tuache janja janja.
kwanini una quote comment yangu na ku nijibu bila kuniamkia mimi baba ako? Sikia mtoto wangu hapa nimezungumzia misimu 3 tuliyoshindwa kutamba+Mechi nane, kufungwa moja, droo moja kushinda sita
Hivi hapo ubovu wa timu ukoapi?
Mbona hii ni perfomance nzuri mnataka msifungwe mechi yoyote? Nyinyi ni nani?
Tulikubaliana msimu huu ni ubaya ubwela, lakini naona inakua tofauti na makubaliano.Mechi nane, kufungwa moja, droo moja kushinda sita
Hivi hapo ubovu wa timu ukoapi?
Mbona hii ni perfomance nzuri mnataka msifungwe mechi yoyote? Nyinyi ni nani?