Samahani mume wangu: Halikuwa lengo langu...!

Duuu!! Mimi nafikir huyo mwanamke alidanganywa either na rafiki au mganga wa kienyeji kuwa akimwekea hiyo "dawa" atapendwa zaidi. Kumbe anamuua mumewe. Pole zao.
 
Reactions: BAK
Dah.....huyo mwanaume mstaarabu aisee! Yaani anamgea na mali kabisa??? Angepewa mtaji wa nyanya tu huyo akwende zake, na huyo mume alikosea nini hata achukiwe hivyo?
 
huyo mke hafai kabisa.duu,kuua jamani.hata akifukuzwa,asije akajaribu tena tu.
 
samahani;
kwani huyo mama ni kabila gani? Kwani kuna makabila mengine kama........, mwanamke kumuua mme wake ili abaki na mali si kitu cha ajabu.
 
Au alidhani ni Limbwata kumbe ni sumu!
 
Ukichunguza vizr kuna mmojawapo ana mahusiano nje ya ndoa. Kama ni mama basi alitaka kumwondoa ili abaki na jamaa na kama ni baba, basi mama alitaka kukata mzizi wa fitina
 
Labda alitaka amiliki yeye hiyo Nyumba daladala na Tax
Nawaza labda ana serengeti boys kalimdanganya ili watumbue life baada ya kifo cha mzee
 
Huenda ni dawa alipewa na mganga wake ili mume ampende zaidi. Naweza kukubaliana na huyo mama kwamba lengo lilikuwa kuongeza penzi na siyo kifo. Pole sana mama kwa masahibu yaliyokukuta.
 
Labda sumu ya panya si unajua huwa inafanana na binzari
 
samahani;
kwani huyo mama ni kabila gani? Kwani kuna makabila mengine kama........, mwanamke kumuua mme wake ili abaki na mali si kitu cha ajabu.

irrelevant question kamanda!
 
ntawapa feedback juu ya kitakachoamuliwa! Mjadala jana haukuisha, mume aliachwa akafikirie mwenyewe lakini kila mtu alionekana kutomkatalia wazo lake la kuachana na mke!
 
Tusaidie kabila la huyo mdada, maana makabila mengine nasikia ni balaa kwa kuua waume zao baada ya kuwa na mali. Mwanaume kafanya uamzi wa busara, ila amfukuze asimpe mali hata kidogo, maana ataenda kuzifuja huko.
 
Nadhani hoja hapa ni hilo tendo la kumpa sumu sio kabila. Wazazi wake wote ni wakazi wa asili wa mkoa mmoja kati ya ile mikoa maarufu kwa uzalishaji wa 'cereals', nyanda za juu kusini
 
Hayo ndiyo majambo ya asasi ya ndoa, wengine wanataka kutoka wengine wanataka kuingia..................mambo ya ajabu kabisa.........
 
Hata MUME SIO NDUGUYO!
Angemsingizia shetani "Shetani alinipitia"

Ndyoko ! Habari yako mbona imenistua hadi vinyweleo vimenisimama !.
Ama kweli MKE SIO NDUGUYO !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…