::(samahani nawaomba hapa!!)NAHITAJI SANA HEKIMA NA BUSARA ZENU ..

Mkudisingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
421
Reaction score
122
Ni kuhusu hili swala la chuo na advanc... mm nataka kwenda chuo na nimepata dvshn three nikiw na CCC masomo sayanc japo wazaz wangu mm hawataki nende(hawajakataa kabisa yani hawapendi tuu eti shortcut ) ...mm napenda mambo ya udactar yani nina interest huko nimeaply tayar vyuo nacte na private lakn na mm sasa nachanganyikiwa maana watu wengine wanasema kwenda chuo cjui itakucost baadae cjui utakuw huna heshima ya advanc mala oo utakuwa na wigo mdogo sjui serikali itawatenga kwasabab sijui hamna A level kichwani halafu ukiulizwa chet cha six kikwap utatoa nn yan mambo mengi ambayo yanakatisha tamaa ya chuo...hivi kwann tusiwe kama wazungu kumsomesha mtt tangu mdg fani yake yani kwamfano ukipata elimu msingi uende pahala husika... (huko advanc PCB huwa wanaondoka makwao tukunyema wanarud njiti ) ...kiukwl mm naona huko advanc sitaweza msuli wa PCB nimechunguza topics zao mmh naona kdg kuko taf ukizingatia mm msuliwangu wa olevel haukuw mzur sana halaf yale mambo yanataka msingi mzur kwahiyo najiogopea!!japo najua sitopata zero ila nitaishia ualimu(" kama wale maticha wa mchikichini ni majembe lakn wanakula chaki je mm sasa" ) na ndoto za muhimbil zitakuw zmeishia hpo ! kuepuka hayo nimeona nende tu diploma ya clinical medcine (""sisemi kule ndio mambo mepesi ila tu kule hamna necta halafu ajira hukosi ")... sasa hapa ndo penye point sasa napo htaj mm kujuwa ni kwamba naomben muniambie ni kwel kwamba usipoenda advance kuna hayo mambo ya kutopew thaman kama mtu hujaenda advanc("na serikal hata watu ") wakati wote mnadegree ila tu kilamtu na njia yake ningependa ajitokeze mtu asemee from experience kwamba bwana dogo iko hiv na hiv.hakwnd a level na akakosa heshma na huo wigo mdogo ulimbana wap akakosa nn na mambo kama hayo ... samahan kwa mahubiri marefu ila m mdogowenu nipo ktk kpind kigumu maana ndio nafanya maamuzi ya maisha yangu ya mbele Asanteni nyote ..nahitaji sana busara zenu kaka na dada zangu nyie c ndio grit thinkarz hebu munipruvie !!
 
Tumekupata Kijana lakini cha mcng ujue kwamba dunia haijacmama ila inakwnd mbele kla cku kimaendeleo ko inabd hata wewe uwe sambamba na mabadlko kwa hyo cha mcng pga advance il chuo itakucost kwa baadae mana nadhan kufkia miaka ya mbele elm yetu itahtaj alau mtu uwe umefka 4m6 ko kama elm hyo utakuwa huna utakuwa unasugua bench 2
 
waangalie vizuri hao waliokushauri huo woga wao nani kakudanganya ukiwa kazini mwenye diploma hakai na wacertifcate?
huyo atakua ni darasa la saba hana refference hku nkila mtu kivyake mwisho wa mwezi utalipwa hela yako kulingana na elimu yako ukijiendeleza inapanda mpaka unamlingana asikudanganye mtu juhudi zako mpaka malengo hamna anayedili na mafanikio ya mwingine hujasoma ukaona walimu wa diploma wako ofisi moja na wa degree? walikua wanatengwa? akishikilia maneno ya kila mmoja hutafikia malengo "sio wote wanataka ufike"(ZINGATIA)
 
Vijana wa siku hizi mkiandika maneno machache sana lakini hivyo vifupisho vyenu,vinatupa shida sisi vijana wa zamani,kwa nini usiandike kwa kirefu tu,tabia kama za kuandika vifupi visivyo halalishwa ndio mwanzo wa kupata hizo CCC zako.
Mimi nakushauri kama familia iko vizuri kiuchumi,uende kidato cha tano na sita,kisha uendelee na ndoto yako ya kuwa daktari,lakini kama familia ni unga robo,nenda tu hicho chuo chako,kisha utajindeleza mwenyewe mbele kwa mbele kama ukipenda.Kumbuka elimu haina mwisho.!

Ni kuhusu hili swala la chuo na advanc... mm nataka kwenda chuo na nimepata dvshn three nikiw na CCC masomo sayanc japo wazaz wangu mm hawataki nende(hawajakataa kabisa yani hawapendi tuu eti shortcut ) ...mm napenda mambo ya udactar yani nina interest huko nimeaply tayar vyuo nacte na private lakn na mm sasa nachanganyikiwa maana watu wengine wanasema kwenda chuo cjui itakucost baadae cjui utakuw huna heshima ya advanc mala oo utakuwa na wigo mdogo sjui serikali itawatenga kwasabab sijui hamna A level kichwani halafu ukiulizwa chet cha six kikwap utatoa nn yan mambo mengi ambayo yanakatisha tamaa ya chuo...hivi kwann tusiwe kama wazungu kumsomesha mtt tangu mdg fani yake yani kwamfano ukipata elimu msingi uende pahala husika... (huko advanc PCB huwa wanaondoka makwao tukunyema wanarud njiti ) ...kiukwl mm naona huko advanc sitaweza msuli wa PCB nimechunguza topics zao mmh naona kdg kuko taf ukizingatia mm msuliwangu wa olevel haukuw mzur sana halaf yale mambo yanataka msingi mzur kwahiyo najiogopea!!japo najua sitopata zero ila nitaishia ualimu(" kama wale maticha wa mchikichini ni majembe lakn wanakula chaki je mm sasa" ) na ndoto za muhimbil zitakuw zmeishia hpo ! kuepuka hayo nimeona nende tu diploma ya clinical medcine (""sisemi kule ndio mambo mepesi ila tu kule hamna necta halafu ajira hukosi ")... sasa hapa ndo penye point sasa napo htaj mm kujuwa ni kwamba naomben muniambie ni kwel kwamba usipoenda advance kuna hayo mambo ya kutopew thaman kama mtu hujaenda advanc("na serikal hata watu ") wakati wote mnadegree ila tu kilamtu na njia yake ningependa ajitokeze mtu asemee from experience kwamba bwana dogo iko hiv na hiv.hakwnd a level na akakosa heshma na huo wigo mdogo ulimbana wap akakosa nn na mambo kama hayo ... samahan kwa mahubiri marefu ila m mdogowenu nipo ktk kpind kigumu maana ndio nafanya maamuzi ya maisha yangu ya mbele Asanteni nyote ..nahitaji sana busara zenu kaka na dada zangu nyie c ndio grit thinkarz hebu munipruvie !!
 
Nice said....hakuna fitna za necta....nafasi ya kuendelea na chuo ni kubwa maana ukimaliza diploma una professional yako tofaut na mtu aliepata advnce..hana ki2 wigo wa ajira kwake ni mdogo na bado anaweza kuharibu akaja kutumia vyeti vya o'lev kwenda chuo....kama uko vzr nenda chuo wala usizunguke huko adv
 
samaani mimi nikijana nilimaliza fom 4 nikapata division 4 ya 28 nikapata nafasi yakuendelea na fom 5 na 6 nchini Uganda na sasa nimeshamaliza nanimepata division 2 je naweza kupata chuo cha uwalinu unaotoa degree au diploma?
 
Nenda kasome Kampala university, ukitaka vyuo vya bongo unweza ukakesha ukiomba.
"Tanzanian for Tanzanian"

Umeingilia post ya mwenzio na maada zenu ni tofauti kimtazamo.
 
Unaweza kupita njia unayosema dogo lakini kama unataka kweli kufikia level ya MD,itakubidi uwe long life learner.
 
Vijana wa siku hizi mkiandika maneno machache sana lakini hivyo vifupisho vyenu,vinatupa shida sisi vijana wa zamani,kwa nini usiandike kwa kirefu tu,tabia kama za kuandika vifupi visivyo halalishwa ndio mwanzo wa kupata hizo CCC zako.
Mimi nakushauri kama familia iko vizuri kiuchumi,uende kidato cha tano na sita,kisha uendelee na ndoto yako ya kuwa daktari,lakini kama familia ni unga robo,nenda tu hicho chuo chako,kisha utajindeleza mwenyewe mbele kwa mbele kama ukipenda.Kumbuka elimu haina mwisho.!

Afadhali wewe umemwelewa na ukanifanya nami nimwelewe. Naunga mkono hoja yako.
 
samaani mimi nikijana nilimaliza fom 4 nikapata division 4 ya 28 nikapata nafasi yakuendelea na fom 5 na 6 nchini Uganda na sasa nimeshamaliza nanimepata division 2 je naweza kupata chuo cha uwalinu unaotoa degree au diploma?
Huo mchezo ulishashtukiwa na TCU zamani sana!sifa moja wapo ya kujiunga na chuo kikuu ngazi ya degree ni lazima uwe na CCC o level,kwa huo ufaulu wako ni dhahiri hukuwa nazo hivyo wala usijaribu.Kama fedha zipo endelea huko huko hapa Bongo hiyo hata ualimu certificate hupati
 
Ni kuhusu hili swala la chuo na advanc... mm nataka kwenda chuo na nimepata dvshn three nikiw na CCC masomo sayanc japo wazaz wangu mm hawataki nende(hawajakataa kabisa yani hawapendi tuu eti shortcut ) ...mm napenda mambo ya udactar yani nina interest huko nimeaply tayar vyuo nacte na private

safi jiangalie wewe unataka nini !
Ukiangalia wazazi wanasemaje ! Ita ku cost na utajikuta ukiwapa lawama wazazi wako !

lakn na mm sasa nachanganyikiwa maana watu wengine wanasema kwenda chuo cjui itakucost baadae

Hao ni wenye mawazo yaki pimbi (mafupi mafupi)

cjui utakuw huna heshima ya advanc

Advance haina heshma yoyote ile ! Yenye heshma ni kazi !
Wapo wanaoenda advance na wanarudi kutumia vyeti vya 4m four

mala oo utakuwa na wigo mdogo sjui serikali itawatenga kwasabab sijui hamna A level kichwani

Labda serikali tatu !

halafu ukiulizwa chet cha six kikwap utatoa nn yan mambo mengi ambayo yanakatisha tamaa

Vizingiti ni vingi we usiwasikilize !

hivi kwann tusiwe kama wazungu kumsomesha mtt tangu mdg fani yake yani kwamfano ukipata elimu msingi uende pahala husika... (huko advanc PCB huwa wanaondoka makwao tukunyema wanarud njiti )

Hizi ni ndoto za abunuasi ! Serikali yetu inachowaza ni siasa tu ! Kwahiyo habari za wazungu achana nzo kwanza ! Si wenyewe sio wazungu !

...kiukwl mm naona huko advanc sitaweza msuli wa PCB nimechunguza topics zao mmh

Wasi wasi wangu ni O-Level ulisomaje !

naona kdg kuko taf ukizingatia mm msuliwangu wa olevel haukuw mzur sana halaf yale mambo yanataka msingi mzur kwahiyo najiogopea!!

Pole huko chuo unakoenda ndo balaaa !

japo najua sitopata zero ila nitaishia ualimu(" kama wale maticha wa mchikichini ni majembe lakn wanakula chaki je mm sasa" ) na ndoto za muhimbil zitakuw zmeishia hpo ! kuepuka hayo nimeona nende tu diploma ya clinical medcine (""sisemi kule ndio mambo mepesi ila tu kule hamna necta halafu ajira hukosi ")

Utakutana na NACTE

... sasa hapa ndo penye point sasa napo htaj mm kujuwa ni kwamba naomben muniambie ni kwel kwamba usipoenda advance kuna hayo mambo ya kutopew thaman kama mtu hujaenda advanc("na serikal hata watu ")

hakuna kitu kama hiki ! Na uo utakuwa ni unyanyapaa !

wakati wote mnadegree ila tu kilamtu na njia yake ningependa ajitokeze mtu asemee from experience kwamba bwana dogo iko hiv na hiv.

Dogo we kitakacho angaliwa ni hicho cheti chako unacho jiitia Doctor na Chuo ulichosoma ! Kama kimesjiliwa au laa

hakwnd a level na akakosa heshma na huo wigo mdogo ulimbana wap akakosa nn na mambo kama hayo ... samahan kwa mahubiri marefu ila m mdogowenu nipo ktk kpind kigumu maana ndio nafanya maamuzi ya maisha yangu ya mbele Asanteni nyote ..nahitaji sana busara zenu kaka na dada zangu nyie c ndio grit thinkarz hebu munipruvie !!

Mi nakushauri usiende Advance ! Mana msuli wako wa O-LeveL ulikuwa waku bangaiza bangaiza kama unavyosema hapo hauna msingi mzuri !

Ila kama upo tayari kwenda huko ukapoteze muda wako wa miaka miwili ! Na upate Div 4 kama ulivyosema huwezi kupata Zero ! Haya nenda !

Kiroho Sayona
 
samaani mimi nikijana nilimaliza fom 4 nikapata division 4 ya 28 nikapata nafasi yakuendelea na fom 5 na 6 nchini Uganda na sasa nimeshamaliza nanimepata division 2 je naweza kupata chuo cha uwalinu unaotoa degree au diploma?

Kwanini ulikimbia matatizo badala yaku ya solve ?

Kaendelee huko huko ulikopatia hiyo 2 !
 
acha haraka ya maisha ya kutaka kwenda chuo so cha msingi ni wewe kwenda advance elimu ya form four haina thaman kjana
 
Nice said....hakuna fitna za necta....nafasi ya kuendelea na chuo ni kubwa maana ukimaliza diploma una professional yako tofaut na mtu aliepata advnce..hana ki2 wigo wa ajira kwake ni mdogo na bado anaweza kuharibu akaja kutumia vyeti vya o'lev kwenda chuo....kama uko vzr nenda chuo wala usizunguke huko adv

Chukua huu ushauri.
 
Back
Top Bottom