said reuben
Member
- Dec 22, 2018
- 62
- 28
Mkuu ukija hapa kwa habari uje na details za mwili wako tukufanyie physical diagnosis kwa maswali tutakayokuuliza kabla hujapata ushauri.Samahani nilikua nataka kujua kuhusu bima rahisi maana yangu nilikatiwa na mzaz na sasa haifanyi kazii nimeuliza nhif ziko juu gharama milion moja na laki tano nilikua nataka kujua kuna bima nyingine ya bei rahisi?? Pili na sumbuliwa na maumivu upande wa kulia wa kifua kama kichomi hivi na mkono wa kushoto na mguu wa kushoto unauma flani japo sio sana
80 uzito urefu 5.8 umri 27Mkuu ukija hapa kwa habari uje na details za mwili wako tukufanyie physical diagnosis kwa maswali tutakayokuuliza kabla hujapata ushauri.
Uzito, urefu, umri nk.
Tungejua na blood pressure yako ingependeza zaidi.80 uzito urefu 5.8 umri 27