Habarini Ndugu Wana JF,
Samahani ninaomba kujua namna na jinsi navyoweza kuwa winga kwenye uuzaji wa magari Ninachohitaji kujua ni
1.Nawezaji kupata magari ya bei ya chini na wapi?
2.Upatikanaji wa soko la kuuza magari?
3.Vitu vya kuzingatia na changamoto kwenye biashara hii kama winga?
4.Kama Kuna mtu anaweza kunishika mkono motors yake nipo tayari na nitafika ofisini
Natanguliza shukrani 🙏