Warembo watatu walikuwa wakisifia majina ya wapenzi wao, hususan jinsi ya kufupisha majina pindi wanapotaka kuwaita.
Wa kwanza alisema boyfriend wake anaitwaTusamale, hupenda kumuita Tusa au humuita Male kwa kifupi.
Wa pili alisema yeye wakwake anaitwa Rutatila, na kwamba anapendelea saaana kumuita Ruta lakini mara chachechache humuita Tila.
Ukapita ukimya kidogo, huku hawa wadada wawili wakimuangalia mwenzao. Wakamuuliza shosti mbona upo kimya ?
Kwa sauti ya upole sana akawajibu: "nilikuwa nafikiria... kwani boyfriend wangu anaitwa Mbwambo.

mbwa.........
kidude cha kufanyia matusi
Kipi hicho!call a spade a spade kaka...!
hata kidole cha kati chaweza kuwa kifaa cha kufanyia matusi!
heshima ni kitu cha bure jamani...aisee...?
Kama ilivyo ada Vivian u have made it again
i have a doubt abt this JF member so called Vivian...
cjui ndo wale dadazetu waliopo mbele af wana-doo vi2 sivyo ndivyo...? am getting
worried, heshima ni kitu cha bure jamani...hata kama haujulikani kiukweli lakini hiyo
courage ya kulogin JF na kufungua kurasa na kuanza kuandika vitu kama hivyo
unautoa wapi aisee...?

ZionTz kwani nini maana ya jokes?i have a doubt abt this JF member so called Vivian...
cjui ndo wale dadazetu waliopo mbele af wana-doo vi2 sivyo ndivyo...? am getting
worried, heshima ni kitu cha bure jamani...hata kama haujulikani kiukweli lakini hiyo
courage ya kulogin JF na kufungua kurasa na kuanza kuandika vitu kama hivyo
unautoa wapi aisee...?
unajua mwanzoni wewe nilidhani ni zd,kumbe wewe ni ZionTz.i have a doubt abt this JF member so called Vivian...
cjui ndo wale dadazetu waliopo mbele af wana-doo vi2 sivyo ndivyo...? am getting
worried, heshima ni kitu cha bure jamani...hata kama haujulikani kiukweli lakini hiyo
courage ya kulogin JF na kufungua kurasa na kuanza kuandika vitu kama hivyo
unautoa wapi aisee...?
Kipi hicho!call a spade a spade kaka...!
hata kidole cha kati chaweza kuwa kifaa cha kufanyia matusi!
ebbynature! Ati NINI?
unajua mwanzoni wewe nilidhani ni zd,kumbe wewe ni ZionTz.
muache binamu aandike kila anachoifeel,
au vipi?
ndio maana halisi ya WHERE WE DARE TO TALK OPENLY.
ukileta sheria zako tofauti milango i wazi:
achia ngazi kama visible
au anzisha blogu yako
AM I CLEAR?
ZionTz kwani nini maana ya jokes?
unajua imefikia mahala wana jf wameanza kujisahau!wanasahau hadi jukwaa walilopoSay it again Binamu! Thats my Mpwa
take another one
Thanks! x2