jamani naomba niwatake radhi kwanza kabla ya yote coz nimeshakuwa humu ndani kama cku ya 5 leö na ckujua kama kuna chumba cha utambulisho pil nhngependa mnikarbrishe kwa mikono miwili na makof ma3 coz nitakuwa miongon mwa wa2 waliochagua fungu jema. bbaada ya hapo ningependa kupeleka shukran na pongez za dhat kwa wote waliofanikisha uanzishwaj wa jf kwa ujumla Ahsanten