Samahani: Simkubali mbunge wako..

Kwamex

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
378
Reaction score
96
Nimekuwa nikifuatilia mjadala katika vikao vya bunge hasa la bajeti ambapo wabunge hupata nafasi ya kuchangia kwa dakika zisizopungua kumi kiukweli kuna wabunge wakisimama kuchangia hotuba na mimi husimamisha shughuli zangu na kutega masikio ipasavyo kuwasikiliza ila kuna wabunge wakiwa wanachangia hotuba ya bajeti, kwangu huona ndo nafasi ya kuendelea na shughuli nilizozisimamisha, na inawezekana mbunge wako naye namuweka katika hili kundi naomba basi umwambie ajitahidi kutoa michango bungeni inayoonyesha kweli katumwa na wananchi...
 
mbunge wa kigamboni akiongea mm naendelea na shughuli znagu
 
Mimi kipindi cha maswali na majibu ndio siitaki hata kukiona, maana spika anamwambia waziri ataki majibu marefu, ajibu kwa ufupi sana, sasa hii sijui imekaaje! au wenzangu hamjaligunduwa hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…