theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
sabani.
Ahsante kwa marekebisho mkuu, nilimaanisha sabuni.Hio ni Lugha ya wapi.????
Nenda mtaa wa SomaliHusika na kichwa cha habari hapo juu, ningependa kufahamu ni mahali gani pale kariakoo nitaweza kupata zile bidhaa za kutengenezea sabuni.
Ahsanteni, na muwe na mchana mwema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio itakuwa kigabacholiHio ni Lugha ya wapi.????
Mtaaa wa Somali na Swahili au sikukuu na Somali Pana maduka hapo Ni maeneo ya gerezani we nenda hapoHusika na kichwa cha habari hapo juu, ningependa kufahamu ni mahali gani pale kariakoo nitaweza kupata zile bidhaa za kutengenezea sabuni.
Ahsanteni, na muwe na mchana mwema.
Sent using Jamii Forums mobile app