Samahanini eti hii ni shilingi ngapi kwa kuisoma

Samahanini eti hii ni shilingi ngapi kwa kuisoma

mfichuamambo

Senior Member
Joined
Jul 22, 2021
Posts
107
Reaction score
313
Kidogo shule na hesabu ilinipiga chenga hii ni shilingi ngapi ya kitanzania inasomeka kama shilingi ngapi ya Kitanzania?

Tsh 16,652,246,906,926.83

Inasomekaje kwa maneno? Nimeshindwa kwa kweli
 
Ni shillingi Trillion 16, billioni 652, milioni 246, laki 9 elfu 6, mia 9 ishirini na 6, pointi nane 3
 
Trillion 16, billioni 652, million 246, 9 laki na elfu sita Mia Tisa na ishirini na sita na SENTI themanini na tatu.[emoji23]

Kama nimekosea mnishushue kistaarabu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hela nyingi sana, hivi utajiri wa Diamond ni wa shiling ngapi
 
Back
Top Bottom