mfichuamambo
Senior Member
- Jul 22, 2021
- 107
- 313
Maana ndo jumla ya deni wanalodaiwa njeTrillion 16,billion 652,million 246,laki 9 elfu 6 mia tisa ishirini na sita na senti themanini na tatu
Deni la kenya hiloTrillion 16, billioni 652, million 246, 9 laki na elfu sita Mia Tisa na ishirini na sita na SENTI themanini na tatu.[emoji23]
Kama nimekosea mnishushue kistaarabu.
Kina nani hao wanao daiwaMaana ndo jumla ya deni wanalodaiwa nje
Akina nani?Maana ndo jumla ya deni wanalodaiwa nje
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Trillion 16, billioni 652, million 246, 9 laki na elfu sita Mia Tisa na ishirini na sita na SENTI themanini na tatu.[emoji23]
Kama nimekosea mnishushue kistaarabu.
EXACTLYTrillion 16,billion 652,million 246,laki 9 elfu 6 mia tisa ishirini na sita na senti themanini na tatu
Sasa diamond kaingiaje hapoHela nyingi sana, hivi utajiri wa Diamond ni wa shiling ngapi