Samaki aina ya ‘Asian Carp’ waliopandikizwa mito ya Tanzania wataondoa upungufu wa Protini na njaa?

Samaki aina ya ‘Asian Carp’ waliopandikizwa mito ya Tanzania wataondoa upungufu wa Protini na njaa?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Inasemekana hawa samaki wanazaliana kama nyuki, unaweza ukawaweka 10 tu kwenye bwawa, baada ya mwaka ukawakuta wapo milioni 10. Je, hii haiwezi kutumika kutumika kutokomeza utapiamlo wa protini Tanzania?

Video ina maelezo ya ziada juu ya Asian Carp



 
Kama wanazaliana sana ina maana wankula sana, sasa wale njuju kule ifoza si watawamaliza hao kwa kuwala.
 
Back
Top Bottom