FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Aug 5, 2021 #1 Inasemekana hawa samaki wanazaliana kama nyuki, unaweza ukawaweka 10 tu kwenye bwawa, baada ya mwaka ukawakuta wapo milioni 10. Je, hii haiwezi kutumika kutumika kutokomeza utapiamlo wa protini Tanzania? Video ina maelezo ya ziada juu ya Asian Carp
Inasemekana hawa samaki wanazaliana kama nyuki, unaweza ukawaweka 10 tu kwenye bwawa, baada ya mwaka ukawakuta wapo milioni 10. Je, hii haiwezi kutumika kutumika kutokomeza utapiamlo wa protini Tanzania? Video ina maelezo ya ziada juu ya Asian Carp
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Aug 5, 2021 #2 Duh wa Kichina au
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 8,257 Reaction score 11,499 Aug 5, 2021 #3 Kama wanazaliana sana ina maana wankula sana, sasa wale njuju kule ifoza si watawamaliza hao kwa kuwala.
Kama wanazaliana sana ina maana wankula sana, sasa wale njuju kule ifoza si watawamaliza hao kwa kuwala.
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Aug 5, 2021 #4 😅😅😅😅😅 hao sio wa maabara kweli