samaki aitwaye msia

samaki aitwaye msia

fisimlafi

Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
8
Reaction score
0
Ningependa kujua maana ya neno "msia". Je, samaki aitwaye msia au mzia ni samaki gani?
 
Maswali mengine muwe mnagoogle, kutupunguzi idadi ya maandishi humu jf. Sasa hili limeingiaje kwenye jukwaa la lugha, au huyo fish anazungumza..!?
 
Back
Top Bottom