ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Samaki Garnai wanaoweza kutembea nchi kavu, kuogelea majini na kuruka angani. Wana mkia mrefu ambao huwasaidia kusawazisha wakati wa kutembea juu ya ardhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuajeee kwenye swala la hewaaaSamaki Garnai wanaoView attachment 3012535weza kutembea nchi kavu, kuogelea majini na kuruka angani. Wana mkia mrefu ambao huwasaidia kusawazisha wakati wa kutembea juu ya ardhi
Wanaweza kuvumilia kwa dakika kadhaa tu kama wewe unavyobana pumzi kwenye majiInakuajeee kwenye swala la hewaaa
Maana me najua samaki anatumiaa matamvua na sisi wa nchi kavu tunatumiaa mapafu
Ko hewa wanapatajee
hawaruki umbali mrefu kidogo tu then wanarejea kwa maji.. kama sisi tunavyoenda beach kupiga mbizi..!Inakuajeee kwenye swala la hewaaa
Maana me najua samaki anatumiaa matamvua na sisi wa nchi kavu tunatumiaa mapafu
Ko hewa wanapatajee