ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
Ukitaka samaki awe na ladha nzuri basi fuata maelekezo.
baada ya kumsafisha na kumtengeza samaki wako.
chukua viungo vifuatavyo:
1.Kitunguu swaum
2.pilipili Manga
3.Binzari Nyembamba
menya kitunguu saumu vizur kisha kiponde ponde vizur kisha kipakaze na ukitie katika kila samaki sehem ulipo mpasua ,
pilipili manga pia uipondeponde na ufanye kama ulivyofanya kwenye kitunguu swaumu[ila hii sio lazima kama hupendi pilipili]
na binzari nyembamba pia uipakaze na kuitia sehem ulizo mpasua samaki usisahau chumvi.
Jaribu uonje ladha murua na samaki awe mwenye harufu nzuri bila ya vumba kali.
Mkuu analiwa mbichi au maana cjaona cha jiko wala sufuriaUkitaka samaki awe na ladha nzuri basi fuata maelekezo.
baada ya kumsafisha na kumtengeza samaki wako.
chukua viungo vifuatavyo:
1.Kitunguu swaum
2.pilipili Manga
3.Binzari Nyembamba
menya kitunguu saumu vizur kisha kiponde ponde vizur kisha kipakaze na ukitie katika kila samaki sehem ulipo mpasua ,
pilipili manga pia uipondeponde na ufanye kama ulivyofanya kwenye kitunguu swaumu[ila hii sio lazima kama hupendi pilipili]
na binzari nyembamba pia uipakaze na kuitia sehem ulizo mpasua samaki usisahau chumvi.
Jaribu uonje ladha murua na samaki awe mwenye harufu nzuri bila ya vumba kali.
swali lako ni la aibu kula mbichi mkuuMkuu analiwa mbichi au maana cjaona cha jiko wala sufuria
limao kwan kaozaUmesahau limao, chumvi, tangawizi na wengine huongeza na fish sauce kwa ladha na harufu nzuri zaidi.
Hivo viungo vingine unaweka kwani samaki kaoza?limao kwan kaoza
πππππMkuu analiwa mbichi au maana cjaona cha jiko wala sufuria
Hahahah msimulaum huyu ni bachela. Ana assume unajua kifuatacho yani kuweka jikoniHivo viungo vingine unaweka kwani samaki kaoza?
bora ww umejua kama lazima aweke jikoni sio kila kitu niwaambie vyengne mnajiongezaHahahah msimulaum huyu ni bachela. Ana assume unajua kifuatacho yani kuweka jikoni
Sent using Jamii Forums mobile app
bora ww umejua kama lazima aweke jikoni sio kila kitu niwaambie vyengne mnajiongezaHahahah msimulaum huyu ni bachela. Ana assume unajua kifuatacho yani kuweka jikoni
Sent using Jamii Forums mobile app