Samaki mdogo.??

Samaki mdogo.??

Akili Pesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
616
Reaction score
854
Wanabodi naomba kujua SAMAKI MDOGO kwa kiingereza anaitwaje? Watu wa ngeli twende sawa hpo tafadhali[emoji56]
 
To get lost is to learn the way...[emoji2] [emoji2]
 
labda ndio small fish.
Ila kwa uelewa wangu samaki ni samaki tu, awe mdogo au mkubwa bado ataitwa samaki. kwa hiyo hata kingereza ni fish tu.
 
Labda ungeenda moja kwa moja kwa Aina ya samaki husika Ndipo majina tofauti yanakuja. Lakini samaki ni 'fish' general name
 
Back
Top Bottom