Akili Pesa JF-Expert Member Joined Jun 18, 2014 Posts 616 Reaction score 854 Nov 4, 2017 #1 Wanabodi naomba kujua SAMAKI MDOGO kwa kiingereza anaitwaje? Watu wa ngeli twende sawa hpo tafadhali[emoji56]
Wanabodi naomba kujua SAMAKI MDOGO kwa kiingereza anaitwaje? Watu wa ngeli twende sawa hpo tafadhali[emoji56]
Jiwedogo JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 2,811 Reaction score 4,097 Nov 4, 2017 #2 To get lost is to learn the way...[emoji2] [emoji2]
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,139 Nov 4, 2017 #3 labda ndio small fish. Ila kwa uelewa wangu samaki ni samaki tu, awe mdogo au mkubwa bado ataitwa samaki. kwa hiyo hata kingereza ni fish tu.
labda ndio small fish. Ila kwa uelewa wangu samaki ni samaki tu, awe mdogo au mkubwa bado ataitwa samaki. kwa hiyo hata kingereza ni fish tu.
Bizz_sam JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 291 Reaction score 131 Nov 4, 2017 #4 Labda ungeenda moja kwa moja kwa Aina ya samaki husika Ndipo majina tofauti yanakuja. Lakini samaki ni 'fish' general name
Labda ungeenda moja kwa moja kwa Aina ya samaki husika Ndipo majina tofauti yanakuja. Lakini samaki ni 'fish' general name
Mc2nyi Senior Member Joined Nov 5, 2013 Posts 191 Reaction score 189 Nov 4, 2017 #5 Dagaa nini? 'Sardin'
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,403 Reaction score 12,775 Nov 4, 2017 #6 Vice Fish yaani makamu samaki