Siku moja mwalimu alikuwa akiwafundisha wanafunzi wake makundi mbalimbali ya viumbe hai,siku hiyo aliamua kuanza kwa kuwauliza maswali wanafunzi.
Mwalimu: Kama kuku yuko katika kundi la ndege,je samaki yuko katika kundi gani?
Mwanafunzi mmoja akasimama nakusema,"Samaki yuko katika kundi la meli"
Umeona kazi hiyo.