Wanawake wanapenda kuandikwa/kutamkwa majina yao kimahaba na kwa usahihi sasa unapokosea namna hiyo anaweza asijue hata kama ni yeye, watakuja lakini mkuu ngoja nisiwasemeeNiko serious sana mkuu.natamani kuskia lolote kutoka kwao moyo utulie.
Hebu muandike kimahaba wa kwako mkuuWanawake wanapenda kuandikwa/kutamkwa majina yao kimahaba na kwa usahihi sasa unapokosea namna hiyo anaweza asijue hata kama ni yeye, watakuja lakini mkuu ngoja nisiwasemee
Haha hayupo humu jf mkuuHebu muandike kimahaba wa kwako mkuu
Yaani mpaka leo hujaona mdau wa jinsi tofauti ambaye akilike au kuquote post yako wewe roho inakua kwatu?Haha hayupo humu jf mkuu
Nnayemzimikia hajawai ku like wala ku qoute post zangu sa sijui ndo sina zali?Yaani mpaka leo hujaona mdau wa jinsi tofauti ambaye akilike au kuquote post yako wewe roho inakua kwatu?
Sina cha kusema ila nimeshindwa kupita bila kukuquote. AiseeIla samaki naye kazidi,
Maji mpaka mdomoni?
Sasa kama mdomoni maji mengi kiasi hiko je ....
nazungumzia huko anakoishi.
Yaani mie hujaniona mpaka unaanza kuwalilia hako akina nani sijui?
Ina maana siye wengine sanamu?
Hata hujamaliza fukwe unataka Nungwi?
Njoo unywe maji kwanza
maji ya jf
Mkuu wewe omba ajishtukie akiona hii post yakoNnayemzimikia hajawai ku like wala ku qoute post zangu sa sijui ndo sina zali?
Kuna siku na mimi ntajilipua nimfungulie uzi kama mleta madaMkuu wewe omba ajishtukie akiona hii post yako
Hahaha fakegirl Naomi ngoja nisubiri waje wakizingua nitahamishia kambi kwako.[emoji3]Ila samaki naye kazidi,
Maji mpaka mdomoni?
Sasa kama mdomoni maji mengi kiasi hiko je ....
nazungumzia huko anakoishi.
Yaani mie hujaniona mpaka unaanza kuwalilia hako akina nani sijui?
Ina maana siye wengine sanamu?
Hata hujamaliza fukwe unataka Nungwi?
Njoo unywe maji kwanza
maji ya jf