Kama Wizara husika itasimamia sekta ya uvuvi ipasavyo na kutoa elimu ya kutosha kwa wavuvi ikiwa ni pamoja na kuwatengea ruzuku katika bajeti kwa kipindi cha miaka mitano nina uhakika sekta hii peke yake inaweza kutoshereza bajeti ya nchi ambayo ni Trillion 40 kwa mwaka.
ichumu lya,
Uvuvi bado ni sekta ambayo iko kwenye kiwango cha chini kabisa. Serikali imesahau na kuwaacha wavuvi kama watoto yatima. All in all hata kilimo bado kiko chini mno. Wanasiasa ndiyo wameshika usukani kila sehemu